Search

36 results for Zuleikha Fatawi :

  1. Wadau wakubaliana kupunguza gharama za tiketi za ndege Afrika

    Hayo yamebainishwa jana Ijumaa Mei 17 2024 katika kongamano la usafiri wa anga lililojumuisha wadau 200 wa anga kutoka nchi 10, uliofanyika visiwani Zanzibar kwa siku tatu

  2. Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana

    Polisi yakiri kupokea taarifa, yasema uchunguzi unaendelea.

  3. 117 wakamatwa kwa uhalifu Zanzibar

    Amesema mtu yeyote akitoka na panga na akikamatwa anatakiwa kutoa sababu za kubeba silaha hiyo, kinyume na hapo atachukuliwa hatua stahiki.

  4. Jamii yahamasishwa ushiriki Mwenge wa Uhuru

    Mbio za mwenge zinaelimisha na kuhamasisha jamii ya Watanzania kuzingatia lishe bora, mapambano dhidi ya rushwa, mapambano ya VVU na dawa za kulevya

  5. Kaya 7,800 kufikiwa utoaji maoni Dira ya Maendeleo

    Amesema kila kaya itawakilishwa na mwanakaya mmoja mwenye umri wa kuanzia miaka 15 na kuendelea.

  6. PRIME Namna majitaka yalivyogeuzwa fursa Zanzibar

    Mtambo huo ulioanza kutengenezwa mwaka 2020 na kukamilika 2022 kwa gharama ya Sh600 milioni, una lengo la kuwalinda wananchi na maradhi ya mlipuko pamoja na kuweka mazingira safi.

  7. SMZ yatenga Sh34 bilioni posho ya nauli kwa wafanyakazi

    Pia, ametaja matatizo ya mikataba ya wafanyakazi katika mabaraza ya manispaa ambayo huwa ya muda mfupi na isiyokidhi mahitaji yao.

  8. Mchengerwa: Kawachukulieni hatua wanaotumia mashine hewa za manunuzi

    Mchengerwa amewaelekeza ALAT kwenda kusimamia wanaokwepa kulipa kodi kwa kufanya ujanja ujanja yakiwamo matumizi hayo ya mashine hewa.

  9. Shule iliyosababisha mkandarasi kutimuliwa Zanzibar yafunguliwa

    Hata hivyo, alipotembelea ujenzi wa shule hiyo Julai 17, 2022, Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi alikasirishwa kutokana na kusuasua kwa ujenzi uliokuwa ukitekelezwa na kampuni ya Associated...

  10. Polisi yawashikilia watu 21 wakituhumiwa kwa uhalifu

    Watuhumiwa wamekamatwa baada ya polisi kufanya oparesheni maalumu ya kuwasaka watu wanaojihusisha na matukio ya uhalifu.

Page 1 of 4

Next